Darassa ft Jux - Juju (Official Music Video)

Darassa

Darassa

387 992 Aufrufe319

  Tanzanian biggest rapper and afropop singer DARASSA drops his new single '' JUJU '' featuring JUX.
  The single is about how African women are beautiful, it's set to define the party vibe across East Africa to the World.
  Produced by one of the best music producer '' ABBAH PROCESS '', mastering and mixing by the best producer '' Mr T Touch ''.
  The video was shot in Dar es salaam Tanzania and directed by one of the best video director in East Africa HANSCANA.
  For Booking: Contact +255786175484
  Email: darasa.clasic@gmail.com / geoffaya@gmail.com
  Stream on:
  Smart Link ► backl.ink/66188034
  Deezer ► www.deezer.com/album/111630122
  Tidal ► listen.tidal.com/album/118254158/track/118254159
  Google Play ► play.google.com/store/search?q=Juju%20darassa&c=music
  iTunes ► music.apple.com/in/album/juju-feat-jux-single/1480537170?i=1480537170
  Apple Music ► music.apple.com/in/album/juju-feat-jux-single/1480537170
  Follow Me on:
  Instagram: instagram.com/darassacmg255
  Twitter: twitter.com/darassa_cmg
  Facebook: facebook.com/darassacmg
  Channel Managed & Marketed by Ziiki Media.
  Subscribe us for unlimited entertainment
  de-news.net/client-mziikitube
  Like us on Facebook
  facebook.com/mziiki
  Follow us on Twitter
  twitter.com/Mziiki
  Follow us on Instagram
  instagram.com/mziiki
  #juju #darassa #jux

  Am Vor Monat

  KOMMENTARE

  1. Irene starshine

   Kama kinywaji unaongezaaaa noma sanaaaaa

  2. jaqueline mwamwaja

   Umeumiza sana Darasa ✌️

  3. Nancu Geofrey

   Halelehaleeeee

  4. Shukuru Medard

   Hiyo Kali shuka na nyingne brother

  5. Wabeba Junior

   Nice Song🎙️🎤🎶🎵

  6. Dj Rudeboy 254

   Dope sana

  7. JOEL KENNETH

   hata hii ngoma ni JUJU...

  8. didier merci

   gf

  9. Kyule Q

   I like the video. Simple n catchy

  10. Marvin Owen

   beat yatimua umetumia

  11. Charles daniel

   Duuh baba..baba. Darasa hili goma sio poa

  12. Esther

   This honestly deserves 300millon views so unfair...

  13. Kim Isa

   This is a hit.

  14. Yakubu Iddy

   Uyo Queen video ananifanya kila muda nitazame video kweli wanawake sumu

  15. Regnold josephat Silaa

   Hii ngoma noma

  16. Leonard Salija

   Darasa la jux bonge moja la bond.🔥🔥🔥🔥

  17. itonge mussa

   Dah, sijawahi comment mazee, ila JUJU ni bonge moja ya Ngoma aisee.

  18. Fatma fetty

   Dudeeeee👌👌👌

  19. freddy Nouthiwinner

   Ale ale ale

  20. Azhar Juma

   NEW PROJECT IN TOWN💥💥💥💥 Tunatafuta vijana wa chuo 50 tutakao fanya nao kazi katika project yetu mpya AIM POWER YOUR FUTURE (MAISHA BORA) itakayoanza hivi karibuni msimu wa masomo 2019/2020. Utalipwa 60,000 (Elfu sitini ) kwa week kwa mda wote utakao husika katika project hii. VIGEZO 1. Uwe mwanafunzi wa chuo level yeyote certificate, diploma au degree mwaka wa kwanza. 2. Uwe Mtanzania 3. Uwe tayari kushirikiana na wenzako 4. Uwe na uwezo wa kufanya kazi mwenyewe bila kusimamiwa 5.Uwe kitambulisho kimojawapo kati ya hivi i) kitambulisho cha kupiga kura ii) kitambulisho cha urai iii) kitambulisho cha chuo 6. Uwe Chuo kikuu chochote Tanzania first year. kwa mawasiliamo zaidi WhatsApp no 0753406586 ili kutumiwa project proposal. NB. Watu wa mwanzo ndo watakao pewa kipaumbele wahi nafasi ni chache

  21. deus ramson

   0:17

  22. ahmed gascan

   Sijawahi kumkubali huyu jamaa ila kwa hii nyimbo baba big up

  23. Dickson Ndanshau

   Big up sana kwenu...mko juu

  24. Aysha wise

   Daaaa nom

  25. mai kilimanjaro Coffee tour

   Half man half amazing......big time big bruv

  26. Bije Sanga

   Good. Song

  27. Lightness Temba

   Nzur

  28. Emcee Timam

   Mmemwona mdogo wake *Hamisa Mobetto* kwenye dakika ya 1:33 !? Pip that shit

  29. lubunga etienealmasi

   nimehisikia apa canda j'aime cette chanson Canada Quebec.

  30. Chakana Miboti

   Noma sana darasa

  31. Rasheeda Djdjj

   Woooooh 😘😘😘nzur mwanamke waku spend money

  32. Hussein Omary

   Lijamaa hua linakaa kimya likitoa ngoma inateka akili aisee nipeni like tu alau zifike kumi nilingishie

  33. Rashid Chidzangi

   go on darasa cmg takin over

  34. maximus Alnono

   This load is oversized 👏👏👏🔥🔥🔥

  35. Harmoniky

   KALI! KARIBU HAPA de-news.net/online/video-Zyjf43TgsGg.html. UTAZAME ORIJINO VIDEO CLIPS. ZOTE ZA BONGOFLAVA.

  36. Halfani Haji

   Jamaa ngoma zake zinafanana

  37. MPOKI TV

   Bonge la Nyimbo, Salute to Darasa and Jux

  38. shazdah ofonly

   Woooow

  39. Shaban Athuman

   Wngp wameona darassa akismama na jux wanatoa good music gonga like apa

  40. Gerald Mputi

   I don't know how to speak swahili since am coming from a very far East but i want to let you know that hili songi ni noma sana, mchizi ametisha kinoma noma!!

  41. Walid Sultan

   navua kuoga najikuta nalisakata bafuni

  42. Walid Sultan

   hii ngoma ni balaaaaa ni so

  43. Stringihuijari Nina

   Juju ruskettunu

  44. Halima Miraj

   Uko vizuri nimeupenda

  45. Kims Blessed Music

   I just saw a Boxer bike waaaaa kinoma bajaji inaokoaaaaa

  46. ruweyda Abanoor

   Naomba kwa darasa nifanye kitu kwa mziki wako

  47. Peter Simfukwe

   This guy is so creative and His music is nice. From Zambi

  48. Adili Ghambi

   Big up brother!!!! Your the best artist 🙌🙌

  49. Bahati Mwansasu

   Kitu juju wapi wanawake

  50. ZENGES Media

   Soprano Musiq ft Jux-UMENUNA / dance challenge de-news.net/online/video-tJZTANrDV50.html

  51. Baraka Moringe

   Yeah ni ufundi

  52. enlightened oness

   Guess who's back now 🔥🔥🔥

  53. Thomas Dunde

   Hii colabo ni hatariiiii

  54. nicholaus mhagama

   ngoma ya kuchezeka.. mmeleta ugogo, kama miti.. hamjaitendea haki hii video

  55. Ajuaye Chubwa

   nani anamkubali darassa like kwake

  56. James Kulu

   TIMUA VUMBI TIMUA? anyone else amesikiya(the beat)?

  57. Thomas Malugu

   Nimezamia me mwenyew baharia

  58. kombo zakaria jr tz

   Wanaomkubali darasa gonga like apa

  59. Msavana Media

   Lazma itrend hii

  60. Msavana Media

   Kaal

  61. Don Freddy

   Lol so all jux did throughout the song was say "ale ale ale" and "hamm hamm" at the end 😂😂 Not hating though, on the contrary I love the song

  62. Maximilian hilary

   Aisee hawa jamaaa nawakubali sanaa

  63. Nadya Juma

   🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  64. Justmore Mukhwana

   Whenever they hook-up ,its a hit 💪🏿💪🏿💪🏿

  65. DR, KAREEM

   Kazi imesimama kinoma

  66. Ali Alesry

   Hii ni balaaa

  67. Godston Fidel

   mm xio #dj lakn nimeurudia zaid dj

  68. Godston Fidel

   duh darassa hukosei kwel

  69. COSMOO MANYOTA

   safi mwamba. de-news.net/online/video-YBwCyAIr-94.html

  70. Jamal Muller Jordan

   Maskini jux hajui kucheza